Jiunge na Queen-Mam Beauty Academy
Jifunze skincare, glow, ujasiriamali wa beauty, matumizi ya beauty products na ujuzi wa vitendo kupitia Queen-Mam Beauty Academy.
SkincareBeauty ProductsUjasiriamaliCertificationMentorship
Kwa Nini Ujiunge?
Ujuzi wa Vitendo
Jifunze skincare, glow na matumizi sahihi ya beauty products kwa vitendo.
Mentorship
Pata mwongozo kutoka kwa wataalamu wa beauty na skincare.
Ujasiriamali wa Beauty
Jifunze namna ya kuanzisha au kukuza biashara ya beauty.
