Queen-Mam Luxury Beauty
Tunatoa bidhaa bora za urembo, utunzaji wa ngozi na huduma za kujiremba pamoja na mafunzo kupitia Queen-Mam Beauty Academy.
Bidhaa Bora za Urembo
Sisi ni Nani
Queen-Mam ni chapa ya kisasa ya urembo inayojikita katika utunzaji wa ngozi, glow, body care na bidhaa za kisasa za kujiremba kwa ubora wa hali ya juu.
Kupitia Queen-Mam Beauty Academy, tunatoa elimu kuhusu utunzaji wa ngozi, matumizi sahihi ya bidhaa za urembo pamoja na ujasiriamali wa beauty.
Dhamira yetu ni kuwasaidia watu kuonekana vizuri, kujiamini zaidi na kukuza maarifa ya urembo kwa kutumia bidhaa bora na elimu sahihi.
Maadili Yetu
- ✔ Ubora wa hali ya juu
- ✔ Huduma bora kwa wateja
- ✔ Elimu ya urembo
- ✔ Kujiamini na kujitunza
Tunatoa Nini
Bidhaa Bora za Urembo
Bidhaa bora za utunzaji wa ngozi, glow na kujitunza kwa ubora wa hali ya juu.
Queen-Mam Beauty Academy
Mafunzo ya utunzaji wa ngozi, elimu ya bidhaa za urembo na ujasiriamali wa beauty.
Ushauri wa Urembo
Ushauri wa haraka kuhusu utunzaji wa ngozi na matumizi ya bidhaa za urembo.
